
LOML | Love Of My Life (222)

ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:222
Nilijikuta nacheka na kukata simu nikisema βhana akili huyu mtoto.β
Willy akasema βsijawahi kukuona na furaha namna hii. Sasa haya ndiyo mapenzi, mapenzi yenye tu vitu vitu bila kujali umri unacheka kama jinga.β
Nilicheka nikisema βna ataniua kwa raha. Sijawahi jihisi hivi maisha yangu yote.β
Tulicheka.
Nilimuomba mama Babuu atuandalie chakula kilekile nilichokula wakati nikiwa na Pina. Na Willy tulikula pale kwa furaha akisifia chakula kizuri. Eenh basi ikawa raha muda wote unatamani umsifie mpenzi wako.
ZamanΔ± nilikuwa namshangaa mtu kΔ±la kitu my baby, my love, kafanya hivi kafanya kile. Nilikuwa naona washamba, kumbe mimi nilikuwa sijui kupenda.
Vinawasha kΔ±la muda unatamani umsimulie mtu, kΔ±la muda unatamani watu wajue una mpenzi mzuri, kΔ±la muda unatamani mambo yawe ya raha tu. Ndiyo yamenikuta sasa. Kama wewe humtaji mpenzi wako, usiwaonee wivu wanaosifia wa kwao. Mapenzi yanawasha useme tu muda wote. Ni raha.
Tuliongea Mengi na rafiki yangu lakini zaidi kuhusu taraka ingawa mpaka muda huu sikuwa nimemwambia nini shida. Kwasababu sikuwa naweza kusema kabisa naona aibu sana. BaΕΔ± nilimpigia mwanasheria. Alikuwa ni mwanamke nakumbuka sana.
Baada ya kumpigia aliniambia βkesi yako imeisha ni rahisi sana. Hapa ni kupata tu na urahisi kanisani ugumu Labda aweke huyo mwanamke lakini kwakuwa anajua kosa lake baΕΔ± hana cha kufanya maana haikubaliki kabisa. Wewe ukipata nafasi tukutane tuanze kufuatilia hili ni ndani ya muda mfupi limeisha na baba yako amesisitiza iwe haraka sana.β

