
LOML | Love Of My Life (40)

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:40
Nilimtazama na kutoa mikono yake nikisema “nimechoka sana, naomba nikapumzike tafadhali.”
İle nimepiga hatua tu, mke wangu alını dandia mgongoni tena huku analia na kunikumbatia kwa nguvu akisema “mume wangu tafadhali Naomba nisikilize nakuomba.”
Niligeuka na kusema “utaniambia nini nikuelewe G, una lipi La kusema ?”
G huku analia kwa uchungu, uso umejaa machozi alisema “lipo mume wangu, tafadhali nisikilize.”
Nilishusha pumzi, Kisha nikaingia chumbani na kukaa kitandani. Mke wangu aliingia chumbani, alipofika tu mlangoni alipiga magoti, alitembea na magoti mpaka nilipokuwa akilia kwa uchungu na majuto, natamani ungemuona namna anatia huruma na Kisha alianza kwa kusema “🙌🙌🙌🤦♀️❣️❣️❣️Ila haya maisha
Share kwa ndugu na marafiki
WhatsApp
Facebook
Twitter

