LOML | Love Of My Life (57)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:57
Mambo hayakuwa mabaya sana maana UTI na vitu Kama hivyo ambavyo daktari alisema ni vitu vya kawaida atatupatia dawa. Lakini kuna namna nilikuwa namtazama daktari hata aliniuliza β€œeenh kaka, unataka kuniambia kitu?”


Nilimtazama mke wangu na kusema β€œbahati mbaya ndugu yangu, nilimchezea mke wangu rough si unanielewa.”
Mke wangu alishtuka, akaniminya dokta aliniambia β€œkaka ongea kwa wazi si unajua tena sisi madktari na lugha ngumu.”

Nilijikaza na kufumba macho nikisema β€œni kitu kibaya na ninajutia. Nilimuingilia mke wangu kinyume sikuwa vizuri. Nahofia inaweza kuwa na madhara kiafya kwa mtoto.”

Dokta alinitazama na kusema β€œooh kaka, ni kitu kibaya sana. Kwaajili ya afya zenu, kinyume cha sheria na kinyume na Mungu. Hii haikubaliki tafadhali usimfanyie hivi tena mwanamke unayempenda kwa dhati.

Na pia hii inaweza kumpa changamoto wakati wa kujifungua. Natumai mnaelewa madhara yake na Kama daktari nitawakumbusha tena, kuwa hii inasababisha msongo mkubwa wa mawazo na hata watu hujiua kwasababu ya majuto na mateso.

haitoshi unalegeza mishipa na kusababisha matatizo wakati wa kujifungua, tatizo La bawasiri kwake litakuwa kawaida, sio kwamba bawasiri inatokana na hilo tu ila kwake itakuwa kawaida na lazima, bado kutokwa na nyama nyekundu sehemu ya aja, achilia mbali maji machafu kutoka, kinyesi, au kujamba ovyo na kufanya kuvaa pampasi au wengine kutia vitunguu.

Bado kunuka, na hata maradhi ya uti wa mgongo eenh, maambuzi ya magonjwa ya ngono kwa urahisi. Kaka wewe una hofu ya Mungu usifanye hivyo kwa shemeji yangu. Shemeji usimruhusu akufanyie hivyo.”

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata