
LOML | Love Of My Life (94)

๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:94
Nilikuwa nina hasira sana, nilifika mama babuu alikuwa bado hajafika nyumbani. Mimi nikaingia chumbani. Kichwa ina mambo mengi, uwepo usiwepo hata sitaki kujua kusema kweli.
Nilipofika sasa nilikaa natafakari siku ilivyo, niliwaza hili na hili, hata kuna wakati nikajikuta nacheka nilipokumbuka ile simulizi ya Pina kuhusu huyo dada aliyeroga mume wake amsikiye yeye tu.
Nikacheka nikisema โPina!!, Pina!!, Pina such a charming and beutiful woman. Natakiwa kumpigia huyu msichana. I miss her already.โ
Nikachukua simu yangu, kabla hata sijapiga nilikutana na ujumbe wa mke wangu kuvuruge โBedmate Can I ask you something real? What we had was it real to you๐, or just a moment๐ญ, a rebound๐ญ, or excitement from the past?๐ญ๐ญ๐
from my side, something felt differentโฆ even special. Since breaking up with wanaume wengine, my mind and heart havenโt been okay.
Iโve tried to move on before, kwa maumivu makali๐๐ญ, nakiri nimeishi maisha mabaya sana nyuma, sikuwa mwanamke mzuri lakini najitahidi kwaajili yako mpenzi, never made it past a month with anyone.
But with you, it was different from day oneโฃ๏ธ, since the u married me najifunza kuwa mke mzuri, nina changamoto nyingi bedo๐๐, please nataka kuwa mwanamke mzuri teach me.
Iโm struggling silently๐. Family sees me as a hero, but inside Iโm breaking๐๐. I shut down when Iโm low , itโs a flaw, I know. Maybe even trauma๐๐๐ญ. Maybe even more than that. But I wanted to tell you honestlyโฆ you made me feel alive in a way I havenโt in a long time.
๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:95
If you disappeared because I seemed like too much, I understand. But please know, my mistakes wasnโt rejection nakupenda haki ya Mungu.
Nina ujinga mwingi lakini upendo wangu kwako ni wa kweli kutoka moyoni, sijui nini kinanitokea, niamini nateseka sana, nateseka sana mpenzi, naona aibu, hadithi yangu sio nzuri๐๐ญ, bahati mbaya siwezi chana kurasa hizi.
It was pain I couldnโt explain๐๐๐ญ๐ญ๐ญ. Lakini nipi hapa, mimi nipo hapa, naomba nafasi nyingine, naomba tuzungumze, naomba nikuelezee kila kitu kunihusu, shida zangu na mizigo yangu pengine utanisikia na utaniongoza kwa njia nzuri, wewe ni furaha yangu, wewe ni kitu nahitaji, wewe ni malaika wangu usiniache, nifundishe, niongoze nipo tayari kuwa mwanamke bora, uniache tu kama chombo cha starehe, mimi ni mke wako, wewe ni mume wangu. Nimekukosea nisamehe, NAKUPENDA SANA, NAKUPENDA MPENZI WANGU, nakupenda mume wangu, nihurumie nateseka haki ya Mungu๐ญ๐ญ๐ญ๐๐๐๐โ
Unamjua mke wangu na kizungu chake, ukikaa vibaya unamuonea huruma. Anafanya tu mambo kunivuruga mtoto wa watu. Niliposoma hapa nilimuhurumia nikaona labda kuna jambo ana pitia, lakini ni jambo gani hili ambalo linafanya awe namna hii, jambo gani linafanya awe wa wengi, hatosheki na ana maisha ya ajabu namna hii. Niliacha kwanza kumtafuta Pina.
Niliweka simu yangu pembeni, nilitazama juu tena nikiwa na maumivu na kusema โMungu wangu, nakushukuru sana, nakushukuru kwa mengi sana.Najua maisha sio rahisi ingawaje ninaonekana kupata vyote, wewe peke yako ndiyo unajua namna umenisitiri, umenibeba na mengi, umenivusha na mengi, umenitengeneza na kunibariki na mengi sana.
Sijui sana kuhusu haya, kwanini na una mpango gani na mimi hata nipite kwenye barabara hii. Lakini ninaamini, kwakuwa nipo hapa, ninayo pumzi na afya njema basi wewe uliyeniumba mimi, upo upande wangu, una kazi na mimi, unanitengeneza Mungu, ninakuamini.
Uvumilivu wenye utulivu, unikumbushe siku zote kuwa wewe ni baba, baba mwenye mipango mizuri na mimi, baba mwenye kunipenda na kunijali, na kunitunza. Naamini upo na mimi, sijui unataka nifanye nini, ila nitavuka.โ Nilishusha pumzi na kujilaza tena

