LOML | Love Of My Life (92)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:92
Nilimtazama na kusema β€œacha kujitoa akili mshenzi wa tabia wewe. Nani mumeo, mimi ni mume wako, ningekuwa mume wako ungekuwa unanifanyia haya unayonifanyia. Unaleta kwenye ndoa yetu hawara zako, hivi kweli una akili nzuri wewe!! β€œ

Mke wangu alilia akisema β€œplease baby, dadie please usiseme hivyo. Tumepoteza mtoto, nina maumivu tafadhali naumia sana mume wangu, najiona mjinga na mpumbavu. Nimekosea sana lakini unajua nakupenda.”

Nilicheka, nilicheka huku machozi yananipenda β€œhuku ndiyo kupenda?, kufanya mapenzi ovyo, kinyume na maumbile, mpaka na dr ambaye kwake nilijitwisha aibu yako, zigo lako la misumari kumbe mnaning’ong’a huna aibu. Shame on you sweetwifey. Halafu umekaa hapa unasema mtoto, mtoto gani, mtoto ambaye kila mtu unamwambia ni baba yake.

Hivi Gabriella wewe ni mwanamke kweli?, wanawake wenzako wana huruma, wana aibu, wewe ni nani.Halafu eti una maumivu, unajua maumivu ya mwanaume ambaye mke wake analiwa ovyo kama kitu cha bure.

Una maisha mazuri ambayo kila msichana anayatamani, Mungu akakupa na ndoa na mwanaume uliye mtaka wewe mwenyewe kukicha mume wangu, dadie, bedmate, mara hivi na hivi kumbe huna lolote. Sitaku kukuambia maneno mabaya hapo kitandani ukafa nikahisi nimeua kumbe umalaya wako ndiyo umekuua.

Hii ndoa, kati yangu mimi na wewe haipo, ukitoka hapa, nenda kwenu sio kwangu maana hata mama yako amesema hakukulea nikutese. Sikutaki Gabriella, sikutamani, unanitia kinyaaa, kuchefuchefu, aibu kusema wewe ni mke wangu, aibu!!!, aibuuuu!!!!.”

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

SIMULIZI YA INGIZA FULL

CHAGUO LA MOYO FULL

JOGGING MASTER FULL

LOML | Love Of My Life FULL