
LOML | Love Of My Life (158)

๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:158
Mama aliendelea kushangaa, Gabby mkosa aibu akawa analia. Pina alikuwa amesimama na Willy, Kisha alisogea, Willy alimsogeza na aliniambia โCalm down Ricky. Mimi naondoka nitarudi tena ukinihitaji. Kumbuka wema ukizidi bila mipaka hujaribisha dharau.
Halafu alinikumbatia na kuningโoneza akisema โwatu wanatabia ya kutuumiza kulingana na namna tunavumilia ifike mwisho sasa.โ
Pina aliinuka, nilijikuta nasema โPina tafadhali, nakuomba sana, nakuomba usiondoke ukaniacha peke yangu. Nakuomba.โ
Pina alisimama na kusema โNipo na wewe Ricky, nipo na wewe usijali nitakuwa hapa ukinihitaji tu.โ
Nilijikuta nasema โUsisahau Nakupenda sana, Nakupenda peke yako, Nakupenda Pina, nakuomba usikatae zaidi nakuomba Pina nipo salama nikiwa na wewe, wewe peke yako.โ
Watu wote walishangaa hata Gabby aliacha kulia alishangaa. Willy, mama wote walishangaa na kumtazama Pina huku mama akisema โunasemaje Ricky?โ
Pina alitabasamu, alinirudia tena kwa msaada wa fimbo yake. Alipapasa uso wangu, na Kisha aliniambia aliniinamia, akanibusu kwa paji la uso wangu na kunifanya nisikie raha sana halafu aliwaacha midomo wazi alipo fungua midomo yake na kuniambia โ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐saaafiiiii Pina wa motooooo komesha mpumbavuu asiye na aibuuu my tunedo ohh bebi baila bailaaaaa sheki body body dadeeekiiiii๐๐๐sa Itakuajeeeee ๐ซฃ๐ซฃ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ nyieeee.
HAPA NDIO MWISHO WA SEASON THREE

